{"product_id":"bongo-fleva-music-facts","title":"BONGO FLEVA MUSIC FACTS","description":"\u003cp\u003eKatikati ya mwaka 2017 nilipata nafasi ya kufanya kazi na tovuti ya Burudani inayosomwa zaidi nchini Tanzania, Bongo5.com ambapo nilijijengea uwezo mkubwa kwa upande wa Uandishi wa Habari za Burudani.\u003c\/p\u003e  \n\n\u003cp\u003eBaada ya uchunguzi uliodumu kwa kipindi cha mwaka mmoja, nimeweza kuja na Bongo Fleva Music Facts na kuwa Mwandishi wa kwanza Tanzania kufanya hivyo.\u003c\/p\u003e\n\n\u003cp\u003eKupitia Bongo Fleva Music Facts nakuhakikishia utapata kujua mambo ya ndani zaidi kutoka kwenye muziki huo. Mambo ambayo hata pengine wasanii wenyewe hawayafahamu kutokana yanaonekana kuwa ya kawaida ila yana uzito wake.\u003c\/p\u003e","brand":"BooksWholesale","offers":[{"title":"Paperback","offer_id":44362983014561,"sku":"9781794732209","price":32.92,"currency_code":"USD","in_stock":true}],"thumbnail_url":"\/\/cdn.shopify.com\/s\/files\/1\/0462\/1120\/3233\/files\/1mmkz2kj-front-shortedge-384.jpg?v=1716436371","url":"https:\/\/bookswholesale.myshopify.com\/products\/bongo-fleva-music-facts","provider":"BooksWholesale","version":"1.0","type":"link"}