CHANGAMOTO Insha za Jamii

CHANGAMOTO Insha za Jamii

Regular price
$31.00
Sale price
$31.00
Regular price
$46.00
Sold out
Unit price
per 
Shipping calculated at checkout.

Kitabu hiki ni mkusanyiko wa insha nilizoandika mwaka 2009 na kuzichapisha katika gazeti la KWANZA JAMII. Vile vile kuna mahojiano niliyofanyiwa na blogu ya Bongo Celebrity, mwaka 2008. Kwa ujumla, yaliyomo ni mawazo kuhusu masuala mbali mbali ya uchumi, siasa, jamii, na utamaduni yanayoihusu Tanzania na dunia kwa ujumla,